Video Mpya

VideoMPYA: Nedy Music amedondosha mpya inaitwa “Mi Nawe”

on

Msanii wa Bongofleva Nedy Music aliyeanza kutambulika katika game kupitia PKP leo anaendelea kudhihirisha kuwa anaendelea kufanya vyema akiwa mwenyewe, leo Nedy Music amekuletea video mpya ameiita ‘Mi Nawe’

VIDEO: PIERE KAPATA SHAVU LA UBALOZI WA HOTEL KAFUNGUKA, SAA YA GHARAMA KAPEWA NA WEMA

Soma na hizi

Tupia Comments