Mbali na kwamba tarehe 9 Ijumaa ni maadhimisho ya sikukuu ya Uhuru kwa nchi ya Tanzania lakini pia Watanzania watapata nafasi ya kushuhudia burudani itakayotolewa na mkali wa Nigeria aitwae Oxlade.
Msanii huyo atatumbuiza katika ukumbi wa Super Dome Arena uliyopo Masaki Dar es Salaam huku akisindikizwa na Nandy, Marioo na G Nako.
Super Dome ARENA ni miongoni mwa kumbi kubwa Tanzania wenye uwezo wa kuingia watu zaidi ya Elfu 3000.