Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

AyoTV

VIDEO: “Siwezi kuzungumzia refa, nimepewa timu nina siku 2”

on

Kaimu kocha mkuu wa Azam FC Abdul Mingange baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba SC kwa kufungwa goli 1-0, aliongea na waandishi wa habari na kueleza kuwa hawezi kuzungumza kuhusiana na kiwango cha muamuzi.

Kuhusu kupoteza mchezo anasema kuwa mbinu zake zilifeli na Simba SC wakafaidika na kosa moja lililofanywa dakika ya 49, hata hivyo hawezi kuzungumza sana kwa sababu amekuwa na timu hiyo kwa siku 2.

AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI


Soma na hizi

Tupia Comments