Top Stories

“Ningekuwa Waziri Mkuu, ningemshauri Rais Uchaguzi huu aufute” Mchungaji Lusekelo (+video)

on

Tunayo stori kutokea kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi GRC  Dar es salaam, Anthony Lusekelo ambapo amefunguka na kusema kuwa angekuwa Waziri Mkuu angemshauri Rais afute Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa sababu ni gharama.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mchungaji Lusekelo amesema waliopo madarakani waendelee na nafasi zao, hivyo anaomba uchaguzi wa Serikali za Mtaa ufutwe ili kutoisumbua nchi.

A-Z : Mchungaji Lusekelo alivyowachambua Wasanii “Soko la filamu life, nchi gani hiyo”

RAIS MAGUFULI AZITAKA JUMUIYA ZA KIMATAIFA ZIIONDOLEE VIKWAZO ZIMBABWE “HATA WATOTO WENU WANATESEKA”

Soma na hizi

Tupia Comments