Video Mpya

VideoMPYA: Madee kaja na ‘Joka la Kibisa’

on

Staa wa muziki wa Bongofleva kutokea Manzese TipTop Conection Madee leo ameamua kuachia video yake mpya aliyoipa jina la ‘Joka la Kibisa’ Madee anakualika kuitazama na usisite kuacha comment yako atapita kuisoma.

Jibu la Joh Makini kwa Shabiki aliemwambia ‘huwezi kaza, umeitupa HipHop’

Soma na hizi

Tupia Comments