Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Michael Jackson ni namba moja kwa marehemu walioingiza pesa nyingi 2018
Share
Notification Show More
Latest News
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
August 15, 2022
Azikwa akiwa hai huko Madaba, DC afika eneo la tukio, ‘Jambo hili ni la kinyama’
August 15, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Michael Jackson ni namba moja kwa marehemu walioingiza pesa nyingi 2018
Habari za Mastaa

Michael Jackson ni namba moja kwa marehemu walioingiza pesa nyingi 2018

November 1, 2018
Share
2 Min Read
SHARE

Mfalme wa Pop Marehemu Michael Jackson anazidi kuingiza mkwanja mrefu wa pesa ingawa hayuko tena duniani, hiyo ni baada ya kuongoza katika list ya watu maarufu waliofariki dunia.

Katika jarida la Forbes limemtaja Marehemu Michael Jackson katika list ya ‘The Highest Paid Dead Celebrities 2018’ na kutaja kuwa mfalme huyo ameingiza kiasi cha zaidi ya Tsh Bilioni 917 tokea October 2017 mpaka October 2018.

Kiasi hicho cha fedha kinatajwa ni kutokana na asilimia 50 ya mauzo ya kazi za MJ kutoka EMI Music Publishing na kupelekwa kwenye kampuni ya muziki ya Sony/ATV pamoja na pesa kutoka kwenye Catalogue yake ya Mijac Music.

Project ya kipindi maalum cha televisheni cha ‘Michael Jackson Halloween’ kinatajwa pia kutoa malipo, kipindi hicho kilirejea kwenye kituo cha CBS cha Marekani October 20,2018 ikiwa kimefanyika miaka miwili mfululizo.

Hii ndio full list ya mastaa waliokufa lakini bado majina yao yanaingiza pesa nyingi kutokana na vitu walivyofanya enzi za uhai wao.

1. Michael Jackson ($400 million)

2. Elvis Presley ($40 million)

3. Arnold Palmer ($35 million)

4. Charles Schulz ($34 million)

5. Bob Marley ($23 million)

6. Dr. Seuss ($16 million)

7. Hugh Hefner ($15 million)

8. Marilyn Monroe ($14 million)

9. Prince ($13 million)

10. John Lennon ($12 million)

Askofu Gwajima na Kibonde walivyojichanganya kwa Masanja “Hilo ni pepo”

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

Str8upvibes kumleta ‘Kizz Daniel’ Tanzania?

TAGGED: bongoflevanews
Admin November 1, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: JPM aeleza Dk. Bashiru alivyopigwa vita na CCM ‘walisema ni CUF’
Next Article BREAKING: Mbowe yu mahututi asafirishwa kwa dharura kwenda Afrika Kusini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
Top Stories August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
Top Stories August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
Sports August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
Sports August 15, 2022

You Might also Like

Sports

Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’

August 15, 2022
Sports

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

August 15, 2022
Sports

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

August 15, 2022
Sports

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?