Video Mpya

AudioMPYA: Izzo Bizness kamshirikisha Juma Nature kwenye hii “baraka”

on

Staa wa Hip Hop Izzo Bizness kaamua kumshirikisha mkongwe katika game ya muziki Juma Nature ambaye alikuwa akifanya vizuri miaka iliyopita na hivyo kuamua kuungana na kuja na audio mpya ya “Baraka”

Ili kuisikiliza audio hiyo bonyeza PLAY hapa chini.

AUDIO:Mapokezi ya Hamisa Mobetto alivyowasili Uganda

 

Soma na hizi

Tupia Comments