Habari za Mastaa

AudioMPYA: Julio Batalia katuletea hii single yake mpya ‘WABO’

on

Ni july 26, 2016 ambapo mshiriki wa shindano la Big Brother Stargame 2012 na msanii wa Bongo Fleva, Julio Batalia ametuletea hii single yake mpya iitwayo ‘WABO’.

Unaweza ukabonyeza HAPA kuisikiliza single hiyo mpya kisha sio mbaya ukituachia na comment yako ili mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania mmeipokeaje.

ULIIKOSA HII YA MOSE IYOBO KUHUSU COMMENT YA INSTAGRAM ILIYOMPA HASIRA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments