on air with millardayo

VIDEO: Miss Afrika 2016 azungumzia alivyoona giza akiwa stejini

on

Mrembo Julitha Kabette ni mmoja wa washiriki wa shindano la MISS AFRICA 2016 litakalofanyika Nigeria, ambapo amechaguliwa na taasisi ya MILLEN MAGESE kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano hilo. Julitha amefanya mazungumzo na AYO TV ambapo  amezungumzia pia jinsi alivyoona giza akiwa kwenye stage ya Miss Tanzania 2016 na mengine.

“Kuna kitu kama kilinitokea nikawa sijiskii vizuri kwa hiyo nikaishia katikati, nilijiskia vibaya kama kuzimia na ndio mana nikaondoka stejini. Sielewi ni nini kilitokea niliona tu giza nikaona labda siwezi kuendelea kukaa hapa unajua!!!!!, nimekubali matokeo kama hivyo, ndio mana nimepata nafasi nyingine” – Julitha Kabette

Nimekuwekea hapa Full Interview kutoka AYO TV. 

VIDEO: Nape Nnauye akilicharaza Gitaa na kutumbuiza 

 

Soma na hizi

Tupia Comments