AyoTV

MWALIMU ASIYEONA MTWARA: Anafundisha kama kawaida

on

Justin Milanzi ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Sabasaba iliyoko katika Wilaya ya Masasi, Mtwara ambaye ni mlemavu wa macho lakini hodari sana katika kufundisha wanafunzi wanaoona hata wakafanya vizuri masomo yake kuliko masomo mengine. Anawezaje? Hilo ndilo swali ambalo mimi na wewe hatuna majibu.

Mwalimu Milanzi amekaa kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV na millardayo.com katueleza mwanzo mwisho…tazama kwenye video hii hapa chini.

MAAJABU?!! TUMBO LIMETOBOLEWA LAKINI ANATEMBEA…TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI!!!

Soma na hizi

Tupia Comments