Michezo

Maneno 11 ya Juma Kaseja kwa watu wa Simba, wamkumbuke lakini….

on

Golikipa mahiri wa zamani wa klabu ya Simba Juma Kaseja ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya, bado ana historia nzuri na kubwa ndani ya klabu ya Simba, kwani ni miongoni mwa magolikipa mahiri waliowahi kuidakia timu hiyo kwa mafanikio.

Kama ambavyo wengi hufahamu mtu akifanya vizuri ni lazima apongezwe Juma Kaseja usiku wa February 1 kupitia account yake ya instagram ameandika ujumbe ambao kwa mara moja ni ngumu kuelewa kamaanisha nini, Kaseja katika account yake ya instagram kaandikaWana ssc nikumbukeni kwa mabaya nilio wafanyia kwenye timu yenu mazuri yaacheni”

kas

Hizi ni comment za mashabiki 

 

Inashangaza kidogo Juma Kaseja kamaanisha ni kuandika hivyo, kwani utamaduni wa wengi ni mtu huwa anakumbukwa kwa mazuri na sio mabaya.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments