Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: ‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
Share
Notification Show More
Latest News
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > ‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
Top Stories

‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba

May 30, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kutokana na mipango ya Serikali, wanategema ifikapo mwezi Juni mwaka 2024 vijiji vyote Tanzania vitakuwa vimeunganishwa na umeme.

Waziri Makamba ameyasema hayo wakati wa maonyesho ya wiki ya Nishati akihojiwa na Clouds TV na kuongeza kuwa Serikali ina mipango inayozingatia utabiri wa hali itakavyokuwa mbeleni, lakini pia inaishirikisha zaidi sekta binafsi katika kuwekeza kwenye sekta ya nishati ili kuweza kufikia malengo kwa wakati.

Mbali na hilo Waziri wa Nishati, Makamba amesema kuwa >>“Tunachokifanya sasa hivi ni kuongeza vyanzo vingine na kupunguza utegemezi wa maji, ili kwanza kuondokana na ‘risk’ zinazotokana na mabadiliko ya tabia nchi lakini pia kuwa na gridi ambayo ni imara zaidi” – Waziri Makamba.

Wizara ya Nishati inategemea kuwasilisha bungeni makadirio ya bajeti yake ya mwaka wa fedha 2023/2024 kuanzia siku ya Jumatano May 31 2023.

You Might Also Like

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia

Edwin TZA May 30, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Maneno ya Waziri January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023
Next Article Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
Top Stories September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
Top Stories September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
Sports September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Sports

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

September 27, 2023
Top Stories

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?