Jurgen Klopp anaendelea kuishi maisha yake bora baada ya kuondoka Liverpool na kustaafu uongozi.
Wiki hii, mzee huyo mwenye umri wa miaka 57 alipokea tuzo ya Ustahili ya Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani katika sherehe maalum.[Order of Merit of the Federal Republic of Germany ]
Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa hafla hiyo iliandaliwa na rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier katika kasri ya Schloss Bellevue mjini Berlin.