Videos

VideoMPYA: Justin Bieber kaachia video ya ‘Company’

on

Wapenzi wa muziki wa Justin Bieber hii ni kwa ajili yenu, Usiku wa June 8 2016 Bieber ameachia video mpya ya hit single kutoka katika album yake ya ‘Purpose’ album ambayo inafanya vizuri mitandaoni, Bieber kaamua kuachia video rasmi ya hit single yake ya ‘Company’, enjoy dakika 3 za video yenyewe mtu wangu.

BEN POL ALIVYOMTAMBULISHA MAMA YAKE KWENYE STAGE YA MIAKA 10 YAMZIKI WA  BELLA CHECK VIDEO HAPA CHINI>>>

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments