Ad

Habari za Mastaa

Utapenda kuona hii dance cover ya hawa wakaka wakicheza, ‘What Do You Mean’ ya Justin Bieber+ (Video)!

on

Kwenye list ya wasanii kutoka Marekani wanaofanya vizuri sana kwenye headlines za muziki sasa hivi, huwezi kuacha kulitaja jina la staa wa muziki, Justin Bieber. Hivi karibuni Justin Bieber alidondosha album yake mpya, PURPOSE na kuachia dance video za nyimbo zote zinazopatikana kwenye Album hiyo.

segway3

Leo nimekutana na dance cover moja ya wimbo huo kwenye YouTUBE ambapo dancers wa video hiyo wametumia manjonjo ya kipekee sana kuicheza ngoma hiyo mwanzo mwisho, nikaona nishare na wewe mtu wangu utundu wa wenzetu kwenye uchezaji muziki.

Bonyeza Play hapa chini kuzinasa dakika mbili za ‘What Do You Mean/ Epic Segway Dance Cover’:

Kama video hii imekuvutia na ungependa kujua ilikuajekuaje kwenye utengenezaji wake, feel free kubonyeza play hapa chini ili uweze kutazama behind the scenes ya kile ulichotoka kukitazama hapa juu:

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments