Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Justin Bieber atangaza kuahirisha Justice World Tour “ kiafya sipo vizuri”.
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Justin Bieber atangaza kuahirisha Justice World Tour “ kiafya sipo vizuri”.
Entertainment

Justin Bieber atangaza kuahirisha Justice World Tour “ kiafya sipo vizuri”.

March 2, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Msanii nyota wa Pop Justin Bieber ametoa taarifa za  kughairi tarehe zake zilizokuwa zimebaki za tour yake ya “Justice World Tour” baada ya kuahirisha kutokana na wasiwasi wa kiafya.

Tarehe hizo ziliondolewa kwenye tovuti rasmi ya Bieber kufikia siku ya jumanne Na ratiba hizo pia  ziliorodheshwa “ Ticketmaster”  ikiwa ni pamoja na vituo vya California, Connecticut na Washington, D.C. Zimeondolewa pia.

Wawakilishi wa Bieber na Ticketmaster hawakujibu mara moja juu ya hayo kwenye wakutoa maoni.

Mnamo Septemba 2022, beiber alitangaza kupitia Instagram kwamba alikuwa akisisitiza kupumzika kwenye ziara hiyo, ambayo ilianza Februari 2022 na ilikuwa na perfomance 70 zilizopangwa kufanyika 2023.

Beiber anasumbuliwa na ugonjwa uitwao “Ramsay Hunt Syndrome” ambao ni ugonjwa wa neva unaweza hata kusababisha kupooza .

Amemaliza kwa kuwaambia mashabiki zake kuwa muda huu atautumia kufanya mazoezi kutumia dawa na kupona viungo vyake ikiwemo mdomo ili kuweza kurejea kwenye hali yake ya kawaida vizuri zaidi!

You Might Also Like

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

July, 2022 hadi May, 2023 makosa makubwa ya jinai yameongezeka.

Cristiano Ronaldo kuondoka Al-Nassr adaiwa kuwasiliana na Real Madrid

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 2, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Baba amshitaki binti yake Kutoacha Chuo Kikuu Ili Kumtunza baada ya kupata ajali.
Next Article Drake:Najuta kuwataja majina “Ex” katika nyimbo zangu!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?