Habari za Mastaa

Mpya kutoka kwa Justin Bieber imekupita? ‘Sorry (Dance Video)’ imenifikia! – (Video).

on

Baada ya kuweka headlines na single yake ya ‘What Do You Mean’ Justin Bieber ameamua kurudi kuzikamta chati na single nyingine mpya kutoka kwenye Album yake, Purpose inayotegemea kuwa sokoni tarehe 13 November 2015.

ee2

Wimbo unaitwa ‘Sorry’ na video yake ipo hewani tayari… na kama wewe ni mpenzi wa kujifunza zile steps kali za kucheza basi hii video inakuhusu wewe moja kwa moja.

Kama bado hujapata time ya kuicheki video hiyo, karibu uitazame video hiyo hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments