Habari za Mastaa

Director Justin Campos ashoot video mpya ya Kayumba wa BSS 2015..(Picha)

on

Ni director ambaye alishawahi kufanya kazi na baadhi ya wasanii kutoka Tanzania akiwemo, Vanessa Mdee ‘No Body But Me’, Shaa – Toba, Joh Makini – Don’t Bother, Jux – Looking for you na nyinginezo.

Sasa time hii director huyo mikono yake ameiweka kwa mtanzania mwingine  kuandaa video mpya ya mshindi wa Bongo Star Search 2015 Kayumba Juma.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Bongo Star Search waliwataarifu mashabiki kile kilichoendelea  Afrika Kusini na kuandika….’Tumeanza kushoot video ya wimbo mpya ya Kayumba Juma’..>>>@bongostarsearch

 

Tumeanza kushoot video ya wimbo mpya ya Kayumba Juma w/ @gorilla_films @icandicam #bssstarinthemaking

A photo posted by Bongo Star Search (@bongostarsearch) on

 

MADAM RITHAAAA222222

.(Kulia) Jaji wa mashindano ya BBS, Madam Rita & Kayumba Juma wakiwa na director Justin Campos wa Gorilla Films

.

.

MADAM RITHAAAA33333
MADAM RITHA66666

MADAM RITHA6666677777777

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments