Habari za Mastaa

Huu ndio muonekano wa cover ya Album mpya ya Justin Bieber; ‘Purpose’.

on

Siku chache zilizopita Justin Bieber alitangaza ujio wa album yake mpya ‘Purpose’ kupitia page yake ya Twitter. Kwa sasa msanii huyo mwenye miaka 21 anaendelea kuweka headlines kwenye chati mbalimbali za duniani ikiwemo chati ya Billboard Hot 100 ambapo single yake mpya ya ‘What Do You Meanimeendelea kushikilia nafasi ya kwanza kwa wiki kadhaa sasa.

jJUSTIN3

Wakati tukiwa tunaendelea kusibira ujio wa album hiyo, cover ya Album mpya ya Justin Bieber imeshaanza kusambaa mitandaoni… album hiyo mpya itaanza kupatikana kuanzia tarehe 13 November 2015 ikiwa imebeba hit single yake mpya ‘What Do You Mean’.

JUSTIN

Justin Bieber: PURPOSE (Album Cover).

Kingine kizuri kuhusu album hii ni kwamba, Justin Bieber safari hii kafanya kazi na wasanii wa kubwa kwenye muziki wa Hip Hop kama Kanye West, kafanya kazi pia na Dj Skrillex ambae alishawahi kufanya nae kazi kwenye single yake ya ‘Where Are U Now’.

JUSTIN2

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM,TWITTER,FB, YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments