Top Stories

Wajumbe tisa waliopitishwa na UVCCM

on

Umoja wa vijana CCM (UVCCM) umefanya uchaguzi wa wa kuwapata wajumbe wa kamati ya utekelezaji wa baraza kuu ambapo jumla ya wajumbe tisa kutoka Tanzania bara na Zanzibari wamepitishwa. Katibu mkuu Raymond Mwangwala amezungumza na Waandishi wa habari Dodoma na kuwataja wajumbe hao.

BREAKING: Makontena ya RC Makonda yakipigwa Mnada

Soma na hizi

Tupia Comments