Mix

PICHAZ: Rais Magufuli alivyoisindikiza siku ya mashujaa Dodoma

on

Kila ifikapo July 25 ya kila mwaka Tanzania huadhimisha siku ya mashujaa ikiwa kwa mara ya kwanza July 25 2016 maadhimisho hayo yamefanyika kitaifa katika mkoa wa Dodoma ambapo pia mgeni rasmi alikuwa Rais John Pombe Magufuli akisindikizwa na viongozi wengine akiwemo Waziri mkuu Kassim Majaliwa.

Nimekusogezea picha 8 kutokea Dodoma..

8

DODOO

Waziri mkuu Kassim Majaliwa

jp

Rais John Pombe Magufuli

aaa

Kutoka kushoto Waziri mkuu Kassim Majaliwa na Rais mstaafu Ally Mwinyi

sinddd

UUUU

ULIKOSA HII RAIS MAGUFULI KUIPELEKA SERIKALI YOTE DODOMA

Soma na hizi

Tupia Comments