Michezo

Rasmi Juventus wamsajili nyota huyu kutokea Chelsea

on

Klabu ya Juventus ya Italia bado inaongeza nguvu katika kikosi chake kwa kusajili wachezaji kadhaa ili kuweza kuendana na kasi ya michuano mbalimbali itakayoshiriki msimu huu. Juventus ambayo imeondokewa na nyota kadhaa kikosini mwake ikiwemo Carlos Tevez na Andre Pirlo imeongeza nguvu katika kikosi chake.

IMG_20150825_182808

Juventus August 25 wamekamilisha usajili wa mkopo wa muda wa mrefu kwa aliyekuwa winga wa klabu ya Chelsea Juan Cuadrado ambaye alijiunga na Chelsea mwaka 2015 akitokea katika klabu ya Fiorentina ya Italia.

Pichaz Juan Cuadrado alivyowasili Italia August 24 kabla ya August 25 kutangazwa kusajiliwa

2BA2EA6200000578-0-image-a-85_1440458586550

2BA2EA5500000578-0-image-a-83_1440458491736

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments