Habari za Mastaa

Jux kafunguka penzi lake na Nayka kuvunjika “Niko single, sitaki mapenzi..”

on

Mwimbaji Staa Juma Jux amefunguka kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wake wa kimapenzi na mrembo mwenye Asili ya Asia, Nayka ambapo Jux ameeleza Sababu kupitia mahojiano ya Insta LIVE aliyokuwa akifanya na mtangazaji Shaffie Weru wa Kenya.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKIA AKIFUNGUKA 

Soma na hizi

Tupia Comments