Habari za Mastaa

JUX: “Uadui, bore nife kuliko nimwambie? sijateseka, ale ila sio meza moja na mimi, The Love album”

on

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Jux amekaa kwenye On AiR with Millard Ayo… kama kawaida Jux akikaa na Millard huwa anafunguka bila kusita, hutotaka kupitwa na hii EXCLUSIVE aliyoongelea penzi lake lililopita na penzi jipya, alivyovunja simu, moments za hasira zake, matokeo ya THE LOVE ALBUM, ngoma inayomuhusu Vanessa kwenye album na Naika, anajisikiaje wanapomuita Mpenzi wake “Mchina wa Jux” na mengine.

EXCLUSIVE: VANESSA ALIVYOKUTANA NA ROTIMI, AMENIBADILISHA COMPLETELY, NIMEANZA KUISHI NILIVYOSTAHILI”

ALIKIBA EXCLUSIVE: “NI KWELI MKE WANGU KARUDI MOMBASA, NDOA MTIHANI, NIMECHUKUA MUDA, MOFAYA TULIISIMAMISHA”

Soma na hizi

Tupia Comments