Ad

Habari za Mastaa

AudioMPYA: Jux anayofuraha katuletea hii single yake mpya ‘Wivu’

on

Miongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux inawezekana labda aina ya muziki anaoufanya kuwagusa wasichana wengi.

Zimesikika single zake kadhaa ikiwemo Napata Raha,Nitasubiri ,Uzuri wako, Sisikiii na nyinginezo, sasa time hii ametusogezea hii single yake mpya iitwayo Wivu imetayarishwa chini ya producer Bob Manecky.

Unaweza ukabonyeza HAPA kuusikiliza wimbo huo mpya

ULIIKOSA HII INTERVIEW YA VANESSA MDEE KWENYE STUDIO ZA MILLARDAYO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments