Ad

Mix

PICHA 7: Muonekano mpya wa msanii Juma Jux

on

Najua kuna watu wangu ni wapenzi wa kufuatilia life style za mastaa wao mbalimbali, iwe nyumbani bongo hata nje ya nchi, basi si vibaya nikikusogezea hii style mpya ya muonekano wa msanii wa Bongo flevani Juma Jux na muonekano wake mpya wa nywele.

Camera ya millardayo.com imeyapata mapozi kadhaa ya msanii Jux akiwa katika muonekano huo mpya wa nywele zake ambazo unaweza kuzitazama hapa chini…

c (6)

c (5)

c (4)

c (3)

c (1)

c (7)

c (2)

KAMA ULIKOSA KUIONA VIDEO YA NAVY KENZO KWENYE STAGE YA MISS TANGA 2016? ICHEKI NIMEKUEKEA VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments