Ad

Habari za Mastaa

Video mpya ya JUX iliyofanyika Dar ndio hii sasa.. Vee Money alikuwepo Location pia!

on

JuxSio muda mrefu sana tuliletewa burudani poa sana ya video kali ya Jux ambayo aliifanyia China, tukamuona na Vanessa Mdee akiwa kama video Queen.. Zilianza kutoka pichaz za behind the scene ambazo Vanessa alionekana pia pembeni kama director msaidizi yani.

Baada ya hizo behind the scene ambazo zilikuwa exclusive hapahapa kwenye millardayo.com na ayotv, huenda ulikuwa na hamu kuiona video hii.

‘Nikuite Nani’ iliyofanya na director Hanscana tayari imetoka, iko hapa mtu wangu…

Unampa maksi ngapi hapa Jux..? Vipi aendelee kufanya video zake China au aendelee tu Bongo? Kwa chochote unaweza kuandika hapa Jux akipita ataifanyia kazi comment yako.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

 

Soma na hizi

Tupia Comments