Ad
Ad

social network

Instagram: Muonekano mpya wa msanii Juma Jux

on

Kama wewe utakuwa mpenzi wa kufuatilia style za wasanii kuanzia mavazi mpaka Life style zao basi hii isikupite mtu wangu May 19 2016 msanii kutoka kiwanda cha bongoflevani Juma Jux amezichukua headline kutokana na muonekano wake mpya wa nywele.

Jux aliyaandika maneno haya chini ya picha aliyopost kwenye mtandao wake wa Instagram>>>’Sometimes you have to believe in yourself and do what you want, uwezi kupendwa na wote na uwezi kumfuraisha kila mtu #jiamini #hapo #wivu #aftricanboy‘ Usisahau kuniachia comment yako hapa mkali huyu ataiona.

juma jux

ULIIKOSA HII BAADA YA POST ZA SHILOLE KUINGIA KWENYE HEADLINES WENYEWE WALIPOYAZUNGUMZA HAYA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI…

https://www.youtube.com/watch?v=Ju3iVLmgITw

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments