Habari za Mastaa

Kwa wale damdam na muziki wa Jux, karibu uenjoy na mpya yake >>- ‘One More Night’ (Audio)

on

Kwenye list ya mastaa ambao wanafunga mwaka 2015 wakiwa ndani ya list ya wale ambao midundo yao imefanikiwa kupenya na kukubalika kwenye TV za kimataifa, jina la Jux limo !!

Jux

Ngoma ya ‘Looking for You‘ Feat. Joh Makini ni moja ya zinazopigwa kwenye TV hizo ikiwemo kubwa ya Trace Urban ya Ufaransa… Jux kaitambulisha nyingine kutoka kwake, unaweza kuisikiliza ‘One More Night‘ kwa kubonyeza link ya Mkito hapahapa >>> Jux- One More Night

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayokwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments