Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Tamko la JWTZ kuhusu nafasi za Vijana kujiunga kwenye Jeshi hilo
Share
Notification Show More
Latest News
Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma
May 30, 2023
GSM Home wametuonesha bidhaa za ndani walizopunguza mpaka asilimia 60%, wahi sasa
May 30, 2023
Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Tamko la JWTZ kuhusu nafasi za Vijana kujiunga kwenye Jeshi hilo
Top Stories

Tamko la JWTZ kuhusu nafasi za Vijana kujiunga kwenye Jeshi hilo

March 9, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema katika nafasi zilizotangazwa leo za Vijana wa JKT kujiunga katika Jeshi hilo, wapo Matapeli watakaojitokeza ili kuwaibia Watu fedha kwa madai ya kuwauzia nafasi ambapo limesema nafasi hizo haziuzwi.

Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda akiwa Dodoma leo amesema… “Natambua katika matangazo haya ya kujiungana Jeshi kuna mwanya wa Matapeli utaibuka, Matapeli watapenda kutumia fursa hii, niwaombe Watanzania wote, Vijana na Wazazi wetu wasikubali Mtu kumwambia ‘nipigie simu kwamba nina fomu ya kujiunga’ kwanza hatutoi fomu”

“Mtu atakuambia ‘nina nafasi ya Kijana wako uliyoniomba sasa nafasi imepatikana, nina Afande ninamfahamu yupo Makao Makuu ya Jeshi ana nafasi zake nipe hela nikufikishe kwake’, ndio maana Afande mwenye nafasi hizo Jeshini hayupo nafasi zipo kwa haki sawa tutawapima kwa vigezo vyao”- 

“Watanzania wasikubali kudanganyika hakuna njia ya mkato kwenye kupata hizi nafasi, katika hili la kupigiwa simu najua kwenye msafara wa mamba na kenge wapo kuna utapeli utaibuka, msikubali kutapeliwa”

You Might Also Like

Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma

GSM Home wametuonesha bidhaa za ndani walizopunguza mpaka asilimia 60%, wahi sasa

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

Edwin TZA March 9, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha: Wafanyakazi wa TANESCO walivyoadhimisha siku ya Wanawake Duniani
Next Article Wakali wa Amapiano kutumbuiza Elements BAR Machi 11th, ifahamu ngoma yao inayotamba DAR
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma
Top Stories May 30, 2023
GSM Home wametuonesha bidhaa za ndani walizopunguza mpaka asilimia 60%, wahi sasa
Top Stories May 30, 2023
Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
Top Stories May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 29, 2023

May 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 29, 2023

May 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 28, 2023

May 28, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 28, 2023

May 28, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?