Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kilichomkutanisha James Lembeli na Mjukuu wa Malkia Elizabeth, Uingereza
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Kilichomkutanisha James Lembeli na Mjukuu wa Malkia Elizabeth, Uingereza
AyoTVTop Stories

Kilichomkutanisha James Lembeli na Mjukuu wa Malkia Elizabeth, Uingereza

November 13, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Aliyekuwa Mbunge wa Kahama (CCM), James Lembeli ametoa ambaye pia Mjumbe wa Taasisi ya kusimamia hifadhi mbalimbali Afrika (APN) amesema atamshawishi Mjukuu wa Malkia Elizabeth, Prince Harry ili atoe kipaumbele kwa hifadhi za Tanzania.

Lembeli amesema anatarajia kutoa ushawishi huo kwa Prince Harry kupitia mkutano wa siku mbili, ambao umeanza leo Novemba 13 na kuisha November 14, 2018 jijini London Uingereza ambao unawashirikisha wajumbe mbalimbali wa sekta ya utalii duniani.

Pia amesema katika mkutano huo pia watajadili namna bora ya kutumia pesa zinazochangwa na wadau mbalimbali kuimarisha uhifadhi duniani.

“Prince Harry, ni Rais wa Taasisi ya Afrika inayoshirikiana na
Serikali za Kiafrika kwa kuwa nimekuwa Mjumbe wa Bodi ya taasisi hii tangu mwaka 2008, nitaendelea kujitahidi kuishawishi duniani na Prince Harry mwenyewe atoe kipaumbele kwa hifadhi za Tanzania ili tuweze kufaidika na rasilimali zetu,” amesema.

Taasisi ya APN mpaka sasa inashirikiana na serikali za Malawi, Zambia, Msumbiji, Rwanda, Benin, Chad, Congo DRC, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Gabon. Katika nchi hizo inaendesha kwa mkataba maalum na serikali hifadhi za taifa za nchi hizo ambazo zilikuwa zimekufa.

BAJAJI ILIYOBUNIWA TANZANIA BADO HAIJAREKEBISHWA ‘NIMEKATISHWA TAMAA’

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: Ayo TV, habari kubwa, Top Storie
Mika Ndaba TZA November 13, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Bajaji iliyobuniwa Tanzania bado haijarekebishwa ‘Nimekatishwa tamaa’
Next Article Bongo Movie imepiga hatua mpya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?