Top Stories

Majibu ya TFDA kwa wanaosafirisha Bidhaa za Vyakula Nje ya Nchi (+video)

on

Tunayo stori kutokea kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania TFDA, Moses Mbambe ambapo amezungumzia taratibu za watu kutuma ama kupokea bidhaa za Vyakula kutoka Nje ya Nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mbambe amesema kuwa utumaji wa bidhaa inategemea na aina ya nchi kwani nyingine hazipokei bidhaa ambazo hazina kibali cha Mamlaka ya Vyakula.

ALIEDAIWA KUJICHOMEKA KWENYE MSAFARA WA RC GAMBO NAKUITWA TAPELI AFUNGUKA

Soma na hizi

Tupia Comments