Top Stories

Alichokifanya Mjumbe wa Kamati ya UVCCM kwa Watoto hawa “Hawakupanga iwakute” (+video)

on

Wakati watu mbalimbali duniani wakisheherekea Sikukuu ya Eid El Fitr, Mjumbe Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Joanfaith Kataraia amewaasa viongozi wa dini na wasiokuwa wa dini kutumia nafasi walizonazo kuwasaidia Watoto Yatima.

Kataraia ameyasema hayo mara baada ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula katika kituo cha kulelea Watoto Yatima maeneo ya Mkurunga ambapo amesema viongozi wote wana wajibu wa kuwasaidia watoto hao.

MAKAMU WA RAIS ATOA AGIZO MIFUKO YA RAMBO “TAFADHARINI KAFANYENI KAZI, MSITUMIE NGUVU”

Soma na hizi

Tupia Comments