Habari za Mastaa

TOP 20: Ngoma 20 kali za wiki kwenye CloudsFM Top 20 April 30, 2017

on

Kila siku ya Jumapili kupitia CloudsFM kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa 7 mchana zinachezwa ngoma 20 kali za wiki na millardayo.com inahakikisha inakupatia nafasi ya kuona hiyo countdown kila wiki.

Leo April 30, 2017 ikiwa ni Jumapili ya mwisho wa mwezi April ilisikika pia midundo mikubwa 20 ambayo ilisimamiwa na mtangazaji Mami Baby kukiwa na ingizo moja jipya la wimbo wa Humble wa staa wa Kendrick Lamar huku wimbo Mazoea wa Bill Nass ft Mwana FA ukishuka nafasi moja kutoka nafasi ya kwanza iliyodumu kwa wiki tano hadi nafasi ya pili.

Wimbo Shape of You wa Ed Sheeran umekamata nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza wiki hii.

VIDEO: “Nilikuwa natamani kupata mume ambaye atanijali na kuniheshimu” – Madam Flora

Soma na hizi

Tupia Comments