Kaimu balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson amekabidhi fedha za msaaada kutoka mfuko wa balozi wa Marekani wa kupambana na VVU/UKIMWI kwa vikundi vuya kijamii na asasi zisizo za Kiserikali 18 ambazo hufanya kazi kusaidia watu walioathirika na UKIMWI.
Vikundi vilivyopokea mafungu fedha viliomba kutoka mfuko wa Dharura wa Rais wa Marekani wa kupambana na UKIMWI kwa kuandika miradi ambayo itasaidia jamii kudhibiti janga la magonjwa hatari kwenye jamiia zao wakijikita zaidi katika watu wanaoishi na VVU, wajane, wasimamizi wa familia, makundi maalum yaliyo katika mazingira hatarishi wakiwemo yatima. Bonyeza play hapa chini kutazama
GOOD NEWS: Kizuri kingine kutoka Ubalozi wa Marekani, Bonyeza play hapa chini