Burudani

WEMA SEPETU: “kama kummiss mtu ni kosa niko tayari kutafutwa”

on

Leo December  5,2017  muigizaji Wema Sepetu karudi tena kwenye headlines baada ya kupost picha ya aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Luis Munana ambaye walishawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mfupi na baadae kuachana.

 

Wema Sepetu alimaanisha kuwa” kama kummiss mtu ni kosa niko tayari kutafutwa ,nawatakia jumanne njema, hii ni moja kati ya picha zangu ninazozipenda siruhusu maoni yoyote ahsanteni sana“.

VIDEO: Wema Sepetu aondoka CHADEMA, arudi CCM

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments