Mwigizaji Mwijaku amerudi tena na hii baada ya kuulizwa kuhusu Faiza aliyechukulia kwa utofauti swala la mzazi mwenzake Sugu kumvisha pete mpenzi wake anayetarajia kumuoa hivi karibuni, Faiza ambaye aliandika kwenye mtandao wa Instagram kuwa hajafurahishwa na kitendo hicho amemfanya Mwijaku kufunguka haya.
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama MWIJAKU akifunguka.
EXCLUSIVE: “Mchumba mpya anamlea Dogo Janja, tajiri wa Uwoya atanifunga, ndoa ilikuwa kivuli”