Habari za Mastaa

Mtoto wa Gadner, Karen alivyoadhimisha siku yake ya kuzaliwa na wanafunzi wa Vikindu

on

Ikiwa Leo ni January 14 siku ambayo Msanii Wa muziki wa Bongofleva Malkia Karen anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa ameamua kwenda kutoa misaada kwenye shule ya Msingi Vikindu iliyopo wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani na msaada huo ametoa kwa watoto wasiokuwa na wazazi wote wawili, hasa wale wenye uhitaji wakiwemo walemavu na misaada hiyo aliyoitoa ni pamoja na Mabegi ya shule, Madaftari, kalamu pensel na rim paper

BONYEZA PLAY HAPA KUMSIKILIZA KAREN AKIELEZEA

Soma na hizi

Tupia Comments