Habari za Mastaa

VIDEO: Kutoka msibani Wakazi katoa updates na makubaliano ya wasanii waliofika msibani

on

Ni updates kutoka msibani Salasala ambapo wasanii mbalimbali wamekuwa wakishiriki nyumbani hapo kutoa pole na faraja kwa familia ya marehemu Godzilla ambapo moja ya wasanii hao ni pamoja na Wakazi ambaye ameeleza kupitia baadhi ya mambo yaliyojadiliwa hapo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video.

VIDEO: MTOTO WA MONALISA ATOA MSAADA KWA YATIMA, PAULA AINGIA MITINI?

Soma na hizi

Tupia Comments