Stori Kubwa

Habari kubwa Mbili zilizoripotiwa kwenye Taarifa ya habari ya K24 Kenya

on

Kamati iliyobuniwa kutatua mizozo na malalamishi ya uchaguzi wa mchujo wa chama cha Jubilii imemtangaza Charles Jaguar maarufu kama Jaguar kuwa mshindi wa uchaguzi wa mchujo wa ubunge katika jimbo la starehe na kutupilia mbali ushindi wa mbunge wa eneo hilo Maina Kamanda huku kamati hiyo ikiwa na jukumu la kusikiliza kesi 300 mpaka sasa.

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50 aliyefahamika kwa jina la Saimoni Solo yupo katika hali mahututi baada ya Afisa wa polisi kumpiga risasi kichwani kabla ya kujiuwa na inaripotiwa kuwa chanzo cha tukio hil ni kulitokea kuto kuelewana wao kwa wao baada ya marehemu kudaiwa bili ya pombe ambayo ni Ksh 430 amabazo ni zaidi ya Tsh 9,321.

Tazama Taarifa ya Habari Azam Two May 3, 2017

Soma na hizi

Tupia Comments