Vituko/ Comedy

VIDEO: Hii Ilitokea Kenya, Wanawake waliiba ndani ya Mgahawa Nairobi bila kujua wananaswa na Camera

on

Camera za usalama zilizofungwa kwenye maeneo mbalimbali huwa zinasaidia sana kujifunza au kuepuka kitu kisijirudie wakati mwingine, kwenye hii video hapa chini ni jinsi Wanawake wezi walivyoiba kwenye mgahawa Nairobi Kenya baada ya kujifanya Wateja, hii itatusaidia hata na sisi kuwa makini wakati wote.

ULIIKOSA YA WEZI WA LAPTOP WALIOWAIBIA KINA MASTER J? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments