Habari za Mastaa

BASATA imeongea kuhusu Wema Sepetu “Asifikiri sheria imelala, siyo mara ya kwanza”

on

Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Geofrey Mwingereza amezungumza na millardayo.com na Ayo TV kuhusu kile kinachoendelea mitandaoni juu ya Muigizaji Wema Sepetu ambapo Mwingereza amesema kuwa mamlaka zenye kusimamia sheria zitachukua hatua kali juu ya hilo.

PLAY hapa chini kusikiliza.

Petitman kaongea “Bodi ya filamu imuelewe Wema, Movie zipo zinakuja”

EXCLUSIVE: Msama kazungumza maandalizi ya tamasha la X-mass litakalozunguka mikoani

Soma na hizi

Tupia Comments