Mix

50 Cent aiponda Movie ya Tupac ‘All Eyez on Me’, asema hajatendewa haki

on

Hatimaye Movie ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki Duniani kote ya ‘All Ayez On Me’ inayoelezea maisha ya rapper Tupac ikiigizwa na Demetrius Shipp Jr. imeanza kuoneshwa leo June 16, 2017 ikiwa ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwake.

Gumzo limeibuka hata kabla ya movie hiyo haijasambaa zaidi Duniani, tayari imekutana na ukosoaji mkubwa ambapo rapper 50 Cent ameshatoa maoni yake kupitia account yake ya Instagram akisema haina ubora tofauti na alivyokuwa mwenyewe Tupac.

“Man I watched the 2 PAC film, that was some bullshit. Catch that shit on a fire stick ?trust me. LOL SMH TRASH” 50 Cent.

BASATA kuhusu Tuzo za muziki Tanzania ‘KTMA’ 

 

Soma na hizi

Tupia Comments