Top Stories

Kilichosababisha Mshindi wa Bilioni 3 kuvaa kinyango akizipokea

on

N.Gray raia wa Jamaica ameshinda zaidi ya Bilioni 3 za kitanzania kwenye bahati nasibu na kuwaacha watu hoi baada ya kwenda kuzichukua fedha zake akiwa amevaa kinyago usoni kwake kuficha sura yake.

Kwa mujibu wa mshindi huyo alitoa sababu yake ya kuvaa kinyago hicho kwa kusema kuwa anafanya hivyo kwa sababu za kiusalama.

Aidha Gray amepanga kutumia fedha hizo alizoshinda kutoka kwa kampuni ya Super Lotto Lottery inayochezesha bahati nasibu hiyo kulipa madeni yake yote.

Kwa mujibu wa muwakilishi wa kampuni hiyo amesema kuwa kwa sasa vitendo vya vya washindi wa bahati nasibu hiyo kuficha nyuso zao zimezidi kuongezeka kwa sababu  wanazozijua wao.

Tazama LIVE mapya aliyoibuka nayo Dr. Shika akizungumza na Waandishi ‘Tutaelewana’

VIDEO: Ulivyopokelewa mwili wa ‘Sam wa Ukweli’, Mastaa waliohudhuria

Soma na hizi

Tupia Comments