Habari za Mastaa

Mrembo aliyeshinda taji la Dunia la Miss Landscape kazungumza baada ya kurudi Bongo

on

June 5, 2019 zilifanyika fainali za mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Landscape ambapo mrembo kutoka Tanzania Anitha Mlay, aliibuka kidedea na kushinda nafasi ya pili akitanguliwa na mrembo wa Marekani ambaye ndiye aliyeshika nafasi ya kwanza, huku nafasi ya tatu ikienda kwa mrembo kutoka Colombia.

Shindano hilo la urembo la kimataifa huwa linabeba kampeni za utunzaji mazingira, kupiga vita ujangili pamoja na kutangaza utalii liliweza kushirikisha warembo kutoka mataifa 41 huku Tanzania ikiwa ni miongoni mwake.

Sasa AyoTV na millardayo.com zimempata Miss huyo baada ya kutua bongo na kufanya naye mahojiano Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: BELLA ALIVYOMTETEA HAMISA JUU YA MUZIKI WAKE “MUZIKI SIYO WA WATU FLANI NI KWAAJILI YA KILA MTU”

Soma na hizi

Tupia Comments