Ad

Top Stories

PICHA 18: Nyumba tatu za kifahari za Lugumi zinazopigwa mnada

on

Leo August 20 2017 Kampuni ya Udalali ya Yono imetangaza kuwa inatarajia kupiga nyumba tatu za kifahari mali za Lugumi Enterprises  Ltd, nyumba moja ipo maeneo ya upanga, Ilala na nyingine mbili zipo eneo la Mbweni Dar es salaam kutokana na mmiliki wake kushindwa kulipa kodi kwa mamlaka ya mapato Tanzania ‘TRA’. Mnada unatarajiwa kufanyika September 9 2017

Ulikosa? BOMOA BOMOA DAR: Wakazi Kimara waeleza wanavyoishi kwa shida, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments