Video Mpya

VideoMPYA: Mdundiko ya Weusi karibu kuitazama FULL USWAZI

on

Kundi la Weusi limekuja na hii video ya wimbo wao mpya wimbo unaitwa MDUNDIKO na video ya wimbo huo imetayarishwa kwenye mazingira ya uswazi huku katika wimbo wamesikika wasanii wote wa Weusi ambao ni Nikki wa Pili, Joh Makin, G nako pamoja na Bonta Maarifa.

VIDEO:Model aliyemtosa Gnako, asiyevutiwa na Wema Sepetu

Zari awaambia wanawake “Endeleeni kudanga mafanikio hayapatikani kupitia ngono”

Soma na hizi

Tupia Comments