Mwili wa Mama Mzazi wa Erick Kabendera, Verdiana Mujwahuzi ulivyoagwa leo Kanisa Katoliki la Mt Francis Xavier Chang’ombe DSM, baada ya kuagwa ulipelekwa Uwanja wa Ndege kuanza safari ya kuelekea Bukoba kwa ajili ya mazishi.
Zitto Kabwe amesoma ujumbe aliouandika Mwandishi wa habari Eric Kabendera akimuaga Mama yake.