Top Stories

Kabudi kafunguka “Nisamehe, niliandika barua ya kujiuzulu, kanipora kachana” (+video)

on

Rais Magufuli leo ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya madini ya Barrick, kabla ya zoezi hilo Waziri Kabudi amezungumzia namna mchakato ulivyokuwa na changamoto.

“Wakati wa mchakato wa makubaliano na Kampuni ya Barrick, nilisumbuliwa sana kule Canada ikafika wakati nikakata tamaa, nikasema sijawahi kutumwa kazi na Mkuu wangu na nikashindwa nikaandika barua ya kujiuzulu wengine wakanipokonya wakaichana” Kabudi

BREAKING: MAGUFULI AMTUMBUA LUGOLA “UNANITESA, ONDOKA HAPA SINA URAFIKI KAZINI”

Soma na hizi

Tupia Comments