Top Stories

Ndugu wafukua kaburi watoa mwili, wafungua jeneza “wametoa kizazi chake mauaji yamefanyika” (+video)

on

Ndugu wa Marehemu Tulizo Konga wa Kijiji cha Igumbilo Kata ya Chimala mkoani Mbeya, wamefukua kaburi la ndugu yao mara baada ya kupata kibali kutoka kwa mamlaka za kisheria  ili kupata uhakika wa chanzo cha kifo cha ndugu yao, aliyefariki Dunia Machi 25 na kuzikwa Machi 28.

Ndugu wamedai kuwa mara baada ya kutilia mashaka namna kifo cha ndugu yao kilivyotokea, ndiyo maana waliamua kufuatilia hatua zote lengo likiwa ni kuujua ukweli kama ndugu yao alifariki kifo cha kawaida ama aliuawa, kutokana na mazingira ya kifo hicho kuwa ni ya mashaka.

“WAFUKUZENI KAZI HAWAFAI WANATOZA HELA KUBWA” BASHUNGWA AAGIZA KWA SIMU

Soma na hizi

Tupia Comments